Bomu la atomiki lilivyorushwa Hiroshima

Marekani ilirusha bomu la kwanza la atomiki huko Hiroshima, Japan, na kupelekea vifo vya watu takriban elfu 80

1468447
Bomu la atomiki lilivyorushwa Hiroshima
TARİHTE BUGÜN_06 AĞUSTOS_OSMANLI AVUSTURYA

06 / AUGUST / 1682 Vita kati ya Ottoman na Austro-Hungary ambavyo vingepelekea kuzingirwa kwa mara ya pili kwa Vienna vilianza. Jeshi la Ottoman halikuchkua muda kuichukua ardhi ya Austria.


06 / AUGUST / 1945 Marekani ilirusha bomu la kwanza la atomiki huko Hiroshima, Japan, na kupelekea vifo vya watu takriban elfu 80. Magonjwa yanayosababishwa na miozi yalipelekea idadi ya waliofariki kufikia laki mbili 200,000.Habari Zinazohusiana