Leo katika historia

Kuanzishwa kwa FIFA mjini Paris

1420926
Leo katika historia

21 / MAY / 1864 Wakazi wa Caucasian walilazimika kuhama katika ardhi yao ,wakaondolewa na Urusi na kuhamia katika ardhi ya utawala wa Dola ya Ottoman.

Takriban wakazi milioni 1 walifukuzwa.


21 / Mei / 1904 Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) lilianzishwa huko Paris.

21 / Mei / 1927 Charles Augustus Lindbergh raia na rubani kutoka Marekani,alifanikiwa kuwa rubani wa kwanza kuvuka bahari ya Atlantik kwa ndege ya “Spirit of St.Louis” akitokea New York kwenda Paris nchini Ufaransa.Habari Zinazohusiana