Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona

1640650
Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 223 nchini Uturuki.

Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 44,760.

Wagonjwa 1,102 wapya waligunduliwa kati ya watu 202,243 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 10,512.

Watu 14,418 walikamilisha matibabu yao na kupelekea idadi ya waliopona kuongezeka hadi 4,947,256.Habari Zinazohusiana