Magaidi wa PKK waangamizwa Iraq

Operesheni dhidi ya PKK Kaskazini mwa Iraq

1640209
Magaidi wa PKK waangamizwa Iraq

Magaidi wawili, wanachama wa kundi la kujitenga la PKK, wameondolewa kaskazini mwa Iraq.

Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Kitaifa (MSB), Ilielezwa kuwa magaidi hao walishambuliwa na dege zisizokuwa na rubani na kuangamizwa katika operesheni ya Pençe-Yoldırım nchini Iraq.

Jeshi la Uturuki limetangaza kuwa operesheni hizo zitaendelea bila kukatizwa hadi itakapokuwa hakuna kigaidi hata mmoja katika eneo hilo.


Tagi: #Uturuki , #PKK , #Iraq

Habari Zinazohusiana