Mashambulizi dhidi ya PKK Iraq

Magaidi watano wa PKK wameshambuliwa katika mkoa wa Metina kaskazini mwa Iraq

1616539
Mashambulizi dhidi ya PKK Iraq

Magaidi watano wa PKK wameshambuliwa katika mkoa wa Metina kaskazini mwa Iraq.

Kulingana na taarifa iliyotolewa kwenye akaunti ya Twitter ya Wizara ya Ulinzi ya Kitaifa ya Uturuki, magaidi wanaendelea kushambuliwa katika mashambulizi ya anga.

Kwa mujibu wa habari, magaidi hao waligunduliwa katika upelelezi ulioendeshwa na jeshi hilo.

Operesheni inaendelea.

 


Tagi: #Iraq , #PKK

Habari Zinazohusiana