Mazungumzo ya Erdoğan na Al Thani

Rais Recep Tayyip Erdoğan amefanya mazungumzo ya simu na Emir wa Qatar

1615291
Mazungumzo ya Erdoğan na Al Thani

Rais Recep Tayyip Erdoğan amefanya mazungumzo ya simu na Emir wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani.

Kulingana na taarifa kutoka kwa Wizara ya Mawasiliano ya Rais, katika mazungumzo hayo, hatua za kuboresha uhusiano wao zilijadiliwa na kutathmini maswala ya kikanda.Habari Zinazohusiana