Virusi vya corona Uturuki

Watu 68 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.

1594150
Virusi vya corona Uturuki

Watu 68 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.

Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 28,706.

Jumla ya watu 135,291 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 668 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi ndani ya siku moja imefikia 11,837.

Idadi ya waliopona imefikia 2,586,073 ikiwa ni pamoja na watu 7,892 walioruhusiwa kuondoka hospitali.Habari Zinazohusiana