Erdoğan azungumza na Rais wa Chad

Rais Recep Tayyip Erdoğan amefanya mazungumzo ya simu na Rais Idriss Deby Itno wa Chad.

1534008
Erdoğan azungumza na Rais wa Chad

Rais Recep Tayyip Erdoğan amefanya mazungumzo ya simu na Rais Idriss Deby Itno wa Chad.

Kulingana na taarifa kutoka kwa Wizara ya Mawasiliano, mazungumzo hayo yaligusia maswala ya kuboresha uhusiano wa Uturuki na Chad.

Katika mazungumzo hayo, Rais Erdoğan alisema kuwa wanataka kuimarisha ushirikiano na Chad katika kila uwanja na kuzingatia umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya uhusiano wa kibiashara na kiuchumi.

Kulikuwa vilevile kuna kubadilishana maoni kuhusu uchaguzi ujao wa Sekretarieti Kuu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu.Habari Zinazohusiana