Rais Erdoğan  azungumza baada ya mkutano wake na baraza la  mawaziri

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumzia  kilichozungumzwa katika mkutano wake na baraza la mawaziri

1445740
Rais Erdoğan  azungumza baada ya mkutano wake na baraza la  mawaziri


Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumzia  kilichozungumzwa katika mkutano wake na baraza la mawaziri.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan  amezungumza kuhusu mkutano waliofanya na mawaziri wake  .

Baada ya mkutano wake huo, rais Erdoğan amezungumza kuhusu mapambano dhidi ya virusi vya corona na kusema kwamba malengo katika mapmabno hayo ni kutokomeza  virusi hivyo.

Kitu ambacho jamhuri ya Uturuki inataraji kutoka  kwa raia wake ni  kulinda  taifa na kuliunga mkono kila wakati.

Rais Erdoğan amezungumza baada ya mkutano huo na kusema kuwa Uturuki ni  muathirika wa mashambulizi na hususan katika kipindi ambacho inapiga hatua kubwa na kitu ambacho  jamhuri inataraji kutoka kwa raia wake ni kuungwa mkono  kwa kuheshimu sheria  kwa kutetea haki zao na ufanisi wao.

Nje na ndani ya nchi, jambo linalosikiksa ni kwamba Uturuki itaendelea kusonga mblr  ulimwenguni baada ya  kumalizika kwa janga la virusi vya corona.

Akizungumzia pia kuhusu maambukizi ya virusi vya corona , rais Erdoğan amesema kuwa  malengo ni kupunguza na kutokomeza kabisa maambukizi ya virusi hivyo.Habari Zinazohusiana