Rais Erdoğan na ujumbe wa siku kuu ya akina mama

Ujumbe kutoka kwa rais wa Uturuki katika siku kuu ya  akina mama

1414540
Rais Erdoğan na ujumbe wa siku kuu ya  akina mama

Rais wa Uturuki atoa ujumbe katika siku kuu ya akina mama ambayo huadhimishwa kila  Mei  10.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan atoa ujumbe katika siku kuu ya akina mama, siku kuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Mei  10.

Rais Erdoğan ametoa ujumbe  katika kauadhimisha siku kuu hiyo.

Katika ujumbe wake  huo , rais Erdoğan amesema kuwa  anawatakia  akina mama wote ulimwenguni siku kuu njema   kwa   wajibu wao usiokuwa na kifani katika kutoa mafunzo na kuellimisha  kizazi kipya , mapenzi walionayo akina mama   ni mapenzi  yasiwezakufananishwa.

Akina mama ndio kimbilio letu  na   mwalimu wetu wa kwanza ambao hutufunza mwenendo wa kufuata katika maisha na kufikia katika mafaanikio.

Taarifa hiyo imetolewa na kitengo kinachohusika na mawasiliano ikulu kikimnukuu rais Erdoğan kufuatia ujumbe wake kuhusu siku kuu ya akina mama.

Akina mama ndio mfano wa kuigwa katika   jamii iliyo na matumaini ya kuwa na maisha bora.Habari Zinazohusiana