Turkish Airlines  yapanga mpongo wa safari zake  miezi mitatu

Shirika la ndege  ka Uturuki la Turkish Airlines  lapanga mpango wa safari zake   miezi mitatu ijayo

1412327
Turkish Airlines  yapanga mpongo wa safari zake  miezi mitatu


Shrika la ndege  ka Uturuki la Turkish Airlines  lapanga mpango wa safari zake   miezi mitatu ijayo.

Shirika la ndege la Uturuki la Turkish Airlines lafahamisha kupanga mpango wa safari zake miezi mitatu ijayo, miezi   hiyo  mitatu ni Juni , Julai na Agosti.

Kulingana na mpango wa safar za ndgeg za shirika  hilo la Uturuki, mwezi Juni, Julia na Agosti  vituo 22  katika mataifa  19 kwa safari 75  kwa wiki.

Hatua hiyo  ya mpango huo imechukuliwa  baada ya uongozi wa shirika hilo  kuamau kusitisha safari zake kutoka na maambukizi ya virusi vya corona.

Shirika  hilo la ndege la Uturuli lilitangaza kusitisha safari zake za ndani Mei 20 na safari zake za kimataifa Mei  28 kutokana na hofu ya maambukizi ya virusi vya corona.

Nchi ambazo safari zitaanza ni  Canada, le Kazakhstan, Afghanistan, le Japon, la China, Korea Kusini , Singapore ,  Danemark, Uswidi, Ujerumani , Norway , Austria , Uholanzi, Ujerumani , Ubelgiji. Israel, Kuweit, Gerogia na Lebanon.
 Habari Zinazohusiana