Shirika la Uturuki laikabidhi wizara ya afya la Libya hospitali ikiwa na vifaa

Shirika la TIKA la Uturuki lakabidhi hospitali na vifaa vya matibabu Misrata wizara ya afya ya Libya

Shirika la Uturuki laikabidhi wizara ya afya la Libya hospitali ikiwa na vifaa


Shirika la TIKA la Uturuki lakabidhi hospitali na vifaa vya matibabu Misrata wizara ya afya ya Libya .

Shirika la ushirikiano na misaada la Uturuki TIKA limekabidhi jengo la hospitali likiwa na vifaa vya matibabu wizara ya afya ya Libya.

Hospitali hiyo inapatikana mjini Misrata  Kaskazini-Magharibi mwa Libya.

Shirika hilo la Uturuki  la TIKA limefahamisha kuwa limekabidhi jengo hilo wizara ya afya ya Libya jengo la hospitali likiwa na vifaa vya matibabu kama ishara ya ushirikiano na kujali afya ya raia wa Libya.

Shirika la habari la Uturuki Anadolu  limefahamisha kuwa TIKA imekabidhi jengo hilo katika hafla iliofanyika Jumatano.
 


Tagi: Uturuki , Libya , TIKA

Habari Zinazohusiana