Ujumbe wa rais Erdoğan kuhusu siku kuu ya walimu Uturuki

Rais Erdoğan atoa ujumbe wa kuwapongeza na  kuwatakia walimu siku kuu njema

Ujumbe wa rais Erdoğan kuhusu siku kuu ya walimu Uturuki

 

Rais Erdoğan atoa ujumbe wa kuwapongeza na  kuwatakia walimu siku kuu njema.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amewatakia walimu siku kuu nje  katika ujumbe wake aliotoa katika ukurasa wake wa Twitter.

Uturuki husherekea siku kuu ya waalimu kila ifikapo Novemba  24.

Katika ujumbe wake huo katika ukurasa wake wa Twitter, rais Erdoğan ameandika ujumbe ambao unawazindua waalimu ubora wa elimu na kufikia malengo.Habari Zinazohusiana