Wahamiaji haramu 10 wafariki na wengine 30 wajeruhiwa katika ajali Uturuki

Wahamiaji haramu 10  wafariki na wengine 30 wajeruhiwa katika ajali  ya gari iliotokea mjini Edirne nchini Uturuki

1225380
Wahamiaji haramu 10 wafariki na wengine 30 wajeruhiwa katika ajali Uturuki

Wahamiaji 10 wameripotiwa kufariki na wengine 30 kujeruhiwa katika ajli iliotokea katika kitongoji cha Meriç mkoani Edirne nchini Uturuki.
Dereva alikuwa akiendesha gari lililokuwa na wahamiaji hao aligoma kusimama baada ya kuambwa kusimama na Polisi ya usalama barabarani mkoani humo.
Dereva huyo aliongeza mwendo na kupoteza mwelekeo  na kugonga nyumba.
Katika ajli hiyo  wahamiaji 10 wamefariki na wengine 30 wameripotiwa kujeruhiwa.

 Habari Zinazohusiana