Mashambulizi dhidi ya magaidi yaendelea nchini Uturuki

Magaidi wengine watano wa PKK wamejisalimisha kwa wanajeshi nchini Uturuki.

Mashambulizi dhidi ya magaidi yaendelea nchini Uturuki

Magaidi wengine watano wa PKK wamejisalimisha kwa wanajeshi nchini Uturuki.

Magaidi hao wamejisalimisha  wakati operesheni dhidi ya magaidi ikiendelea katika maeneo ya Şirnak na Mardin.

Magaidi wanne kati ya watano wametoroka kutoka Kaskazini mwa Iraq.

Uturuki imekuwa ikifanya mashambulizi dhidi ya magaidi ndani na nje ya mipaka yake.

PKK ni kundi la kigaidi lililotambuliwa na Uturuki,Umoja wa Ulaya na Marekani toka 2015.

Tagi: Uturuki , PKK

Habari Zinazohusiana