Hali ya dharura kuondolewa 18 Julai nchini Uturuki

Hali ya dharura nchini Uturuki inatarajia kuondolewa ifikapo 18 Julai 2018.

seref madalyası.jpg

Hali ya dharura nchini Uturuki inatarajia kuondolewa ifikapo 18 Julai 2018.

Uturuki iliweka hali ya dharura toka kutokea kwa jaribio la mapinduzi 15 Julai 2016.

Ibrahim Kalın amewaambia waandishi wa habari kuwa hali hiyo inaweza kurudishwa endapo Uturuki itakumbwa na vitisho visivyo vya kawaida.

Jaribio la mapinduzi nchini Uturuki lilipelekea vifo vya watu 251 huku wengine 2200 wakiwa wamejeruhiwa.

Mnamo mwezi Aprili serikali iliongeza hali ya dharura kwa mara ya saba.

Kundi la FETÖ ndilo linashutumiwa kuhusika na jaribio hilo la 2016.

 

 Habari Zinazohusiana