Mawaziri wa afya zaidi ya 100 kukutana nchini Uturuki

Kwa mara ya kwanza mawaziri wa afya kutoka nchi 100 watakutana nchini Uturuki

Mawaziri wa afya zaidi ya 100 kukutana nchini Uturuki

Kwa mara ya kwanza mawaziri wa afya kutoka nchi 100 watakutana nchini Uturuki.

Mawaziri hao watajadili kuhusu upandikizaji wa viuogo.

Mkutano huo utashirikisha mawaziri kutoka Africa, Ulaya, Latin America, na  Asia.

Mkutano huo unalenga hasa kuongeza uelewa wa mawaziri wa afya kutoka nchi zinazoendelea kuhusu maazimio ya kimataifa yanayızungumzia upandikizaji wa viuongo na kuwapa msaada wa kiufundi ili kuwafanya wataalamu  katika suala hilo.Habari Zinazohusiana