Uchumi wa Uturuki wakuwa zaidi ya mataifa makubwa ya Ulaya

Uchumi a Uturuki umonyesha kiwango cha ukuaji kikubwa zaidi ukilinganisha na Ujerumani, Italia na Norway

Uchumi wa Uturuki wakuwa zaidi ya mataifa makubwa ya Ulaya

Uchumi wa Uturuki katika robo ya tatu ya mwaka umekuwa kwa kiwango cha asilimia 0.9. Kiwango hicho cha ukuwaji kimezidi kiwango cha ukuaji wa uchumi katika mataifa ya Ulaya yakiwemo Ujerumani, Italia na Norway.

Katika robo ya tatu ya mwaka huu uchumi wa Uturuki umekuwa kwa kiwango chanya cha asilimia 0.9.

Kiwango cha ukuaji wa uchumi katika robo ya tatu ya mwaka kwa mataifa ya Ulaya ni kama ifutavyo, Italia ni asilimia 0.3, Ujerumani ni asilimia 0,5 na Norway ni asilimia 0.6. Ukilinganisha ukuwaji huo na a Uturuki utaona kwamba Uturuki imefanya vizuri zaidi.

 


Tagi: Uturuki , Uchumi

Habari Zinazohusiana