Afariki kutokana na "uzee" ilhali ana miaka 8

Anna Sakidon akiwa na umri wa miaka 8 afariki kutokana na uzee

Afariki kutokana na "uzee" ilhali ana miaka 8

Ile hikaya ya mwanadamu aliyeyaanza maisha yake akiwa mzee iliyoelezewa katika filamu ijulikanayo kama Benjamin Button, yatokea katika maisha ya kiuhalisia.

Huko Ukraine, Anna Sakidon mwenye miaka 8, afariki kutokana na uzee.

Kasoro  hizo za vinasaba  zimeonekana kwa watu 160 tu. Miongoni mwa watu hao ni binti wa Ukraine mwenye miaka 8. Pamoja na kuwa na miaka 8 mwili wake ni sawa na ule wa mtu mwenye miaka 80.

Daktari Nadezhda Kataman anasema mtoto huyo kabla hajafariki alipatwa na kiharusi mara kazaa. Ni mwishowe alifariki kutokna naviungo vingi katika mwili wake kushindwa kufanya kazi.

Kasoro hizo za vinasaba ambazo hufahamika kwa jina la kitaalamu kama “Progeria” ilipelekea viungo vya ndani vya Anna kuzeeka kwa kasi na kuifanya mifupa kuwa mizito mno.

 Habari Zinazohusiana