21 wafungwa kwa kuwalaghai maelfu ya watu mitandaoni China

Watu 21 wamekamatwa kwa kuwalaghai maelfu ya watu kupitia Internet na kuwaibia kiasi kikubwa cha fedha nchini China.

21 wafungwa kwa kuwalaghai maelfu ya watu mitandaoni China

Watu 21 wamekamatwa kwa kuwalaghai maelfu ya watu kupitia Internet na kuwaibia kiasi kikubwa cha fedha nchini China.

Kwa mujibu wa shirika la Sinhua, watu zaidi ya 20, chini ya jina la jukwaa la uwekezaji wa internet, walidanganya watu kwa kuwaahidi kuwa watapata kipato zaidi.

Watu hao 21 wamejipatia kipato kinyume na sheria cha takriban $ 132 millioni kupitia Internet.

Imeelezwa kuwa polisi wa China walianza ufuatiliaji wa kiufundi juu ya ugunduzi wa jukwaa la ulaghai mwezi Desemba 2017.

Baada ya miezi 6 ya ufuatiliaji wa kiufundi uliofanyika  Guangdong, Ciangshi ,Ciciang na Guangxi Cuang watu hao 21 wamepatikana na kukamatwa.

 Habari Zinazohusiana