Ladha  na mapishi kutoka katika karsi ya mfalme

Ladha  na mapishi kutoka katika karsi ya mfalme

1418261
Ladha  na mapishi kutoka katika karsi ya mfalme

 
 Katika kipindi chetu wiki , katika mapishi yetu  katika karsi ya Mfalme katika himaya ya Uthmania,  tunakwenda mjini Mardin kwa mara nyingine,  mji ambao unatajwa kama mbebeo ya  ustaarabu wa kale ulimwenguni , mji wa mmoja na maelewana na  maridhiano. Baada ya mchuzi wa Lebeniye  tuliotaarisha wiki  mbili zilizopita Mardin, wiki hii  tutaandaa kwa moja na washirika wetu wawili  uandaaji wa mbavu, upishi ambao ni moja ya  mapishi ya mkoani huo.
Kabla ya kuanza  mapishi yetu kwa siku  ya leo  katika   utamaduni mwa Yunus Emre Akkor , tutembee kidogo katika jiji hili.

Viungo na vifaa vinavyohitajika katika utaarishaji wa  c chakula chetu cha leo ni kama ifuatavvo  :
 
Kilo  2.5  za nyama ya mbavu.

• Gram 500  ya  ntama iliokatwa  katwa.

•  Vijiko vitatu  vya  siagi.  

• Nusu kikombe ya  pinenuts

•   Vitunguu thum viwili 

•   Vikombe vitatu vya mchele   

•    vijiko viwili vya pilipili  manga  .  

•   vijiko viwili  vya pilipili  nyeusi   

•   Kijiko kimoja cha  chumvi 

•     Fungo la  viungo vilivyosagwa kwa pamoja.

•  "Persil au giligilinai  iliosagwa.

 Namna ya mapishi yetu ya leo  tuangalie  video   tuliotaarisha  na ushirikiano na Yunus  Emre Akkor ,  Yunus anakuarifu  Mardın alikutemeblea. Habari Zinazohusiana