Falsafa za Uturuki na sera zake za nje

Kutoka katika  kitivo cha utafiti wa kimataifa chuo kikuu cha Karatekin Daktari Cemil Doğaç İpek anatufafanulia

1113685
Falsafa za Uturuki na sera zake za nje

 

Sera za nje za Uturuki katika miaka michache ya nyuma  zinashuhudia mabadiliko makubwa ambayo ni mabadiliko chanya yenyekujawa na matumaini katika  nyanja tofauti. Ni hatua kubwa Uturuki imepiga katika seraz ak eza nje. Moja miongoni mwa sababu zilizopelekea mabadiliko hayo ni uongozi na mfumo ulioingia madarakani kwa uongozi wa rais Erdoğan na falsafa mpya katika uongozi huo. Wiki  katika kipindi chetu tutaangazi falsafa  na sera za  nje za Uturuki. Kutoka katika  kitivo cha utafiti wa kimataifa chuo kikuu cha Karatekin Daktari Cemil Doğaç İpek anatufafanulia

 Wizara ya mambo ya nje  ya Uturuki imefanay mabadiliko makubwa katika suala zima kuhusu sera zan je katika kipindi kifupi cha miaka kadhaa ilipita.

Mabadiliko hayo ni pamoja na juhudi za uongozi ambao umejawa na matumaini ya mabadili chanya kwa manufaa ya taifa na raia wake na vile vile katika ukanda mzima. Uturuki inayo malengo ya kuwa taifa ambalo linatolewa mfano na kuigwa kutokana na juhudi zake katika nyanja tofauti. Wiki hii tutaangazia kwa usainidi wa mtafiti wetu kuhusu sera zan je za Uturuki na falsafa zake.

Ushawishi wa Uturuki katika ukanda hauna upinzani ni jambo  ambalo halina kipingamizi. Kama historia yake ilivyo , Uturuki ni taifa mbalo kwa muda mrefu lilikuwa likiongoza  dunia. Kwa muda mrefu wakati wa kipindi cha uongozi wa Uturuki binadamu wenye tamaduni tofauti walii,shi katika eneo kubwa kwa usalama bila ya uhasama wa aina yeyote licha ya utofauti uliokuwepo. Jambo linapelekea wasomi na watafiti  kujiuliza maswali na  kujadili ni mfumo upi uliokuwa ukitumiwa katika kipindi hicho. Bila shaka mfumo uliokuwa ukitumiwa wakati huo ni falsafa ambazo zilikuwa na usawa katika jamii.

Mfumo wa uongozi ulikuwa ukistahili kuwa mfumo ambao uliokuwa ukihitajika. Fursa zilikuwa zikitumiwa ipasavyo na utawala katika jamii. Sera za nje za Uturuki zina mafunzo ambayo yalikuwa  hayana tija  kuchukuliwa kama mfano kwa ajili ya uongozi wa sasa.

Mtazamo  ambao haukubaliana na kila ambacho kinaonekana kuwa tofauti na tamaduni au sera tunazokubali sio jambo rahisi kuelewa na hilo ni kwa kila tamaduni ila jambo muhimu sio kukubali mtazamo huo bali kumuelewa mwenye kuwasilisha mtazamo huo.

Tamaduni, imani, eneo  na lugha ni moja miongoni mwa vitu ambavyo huwa vikitambulisha  mtazamo na alietoa mtazamo huo.

Wakati tunapozungumzia  mabadiliko ya kihistoria ya Uturuki tunaona katika kamudi neno ambalo limetajwa kuwa “il “  ikiwa na maana eneo, taifa auo mfumo wa uTawala na katika  kamusi ya Kshagar Mahmud tunaona neno  hilo limetafsiriwa kama amnai na autulivu katika eneo ambalo limetajwa.

Neno ambalo lililkuwa likitumiwa hapo awali kama eneo, kutoka na usawa uliokuwepo neno hilo hilo limetumiwa kumaanisha amnai na uturulivu. Uislmu katika kipindi hicho ndio ilikuwa mfumo ambao ulikuwa  ukichukuliwa kuwa mfano bora katika jamii.

Maneno mengine ambayo yalitumika kama kuarshiria usalama ua utawala yalikuwa  kwa lugha ya kiarabu. Baadhi ya maneno yalikuwa yakimaanisha dola huku katika lugha za kimagharibi ziiktumiwa maneno hayo kwa maana nyingine ambayo si sahihi kama ilivyokuwa katika utamaduni husika.

Jamii ambazo hazikuw akatika  katika  maeneo ya kilitani, jamii ambazo zilikuwa na tamaduni za kiislamu zilifahamisha  kuwa mfumo wa utawala  hautakiwi kubadilika kwa kuhama kutoka katika eneo moja kwemda katika eneo jingine.

 Tukitoa mfano wa Ugiriki ya kale, taifa  ambalo  utawala wake  katik historia pia ulikuwa ukitolewa mfano umeonekana kubadilika kwa muda na mabadiliko hayo  yameshuhudiwa hadi le ona athari zake  zimeonekana.

Waka5ti ambapo Uturuki ilitambua umuhimu wa kulinda pendera yake  na lugha yake ambavyo vitu hivyo ni utambulishao ndipo juhudi ziliongezwa kwa ajili ya kulinda utamaduni ambao ni kama kitambulisho.

Warumi  walitafsiti  historia kama  kiongozi wa maisha na kuutukuza mji wa Roma huku  watueuki  wakichukuliwa historia kama  taifa la milele.

İli taifa kustahili kuitwa taifa  kunastahili kuzingatiwa vitu viwili,  kwanza ni uwepo wa watawala na watawaliwa katika mfumo unaohitajika kwa ajili ya muongozo, pili bila shaka ni utawala wenyewe ambao unatakiwa kuwa utawala  uliochuguliwa na matakwa ya watawala  na uwe utawala wenye kuzingatia haki sawa katika jamii.

N Utwala unaweza kuwa umegawanyika kwa vipengele tofauti  hapo tunaweza kuzungumzia utawala wa kifalme ambao unaongozwa kwa tamaduni. Historia ya Uturuki m katika kipindi cha kabla  ya uislamu   ilikuwa kuheshimu tamduni na kuzienzi ipasavyo.

Dhana iliowekwa katika  forodha ya Uturuki  katika kipindi hicho ilikuwa ilkiweka mipaka.

Katibu katika historia ilikuwa ni muongozo katika utawala na kila raia alitakiwa kuelewa na kutambua haki zake.

Katiba inaweza kuwa kama  mkataba kati ya utawala na watawaliwa. Katiba inatakiwa kuheshimu tamaduni  katika jamii na jamii na jamii  kuheshimu katiba kwa kuheshimu  taratibu zilizopo katika jamii husika.

Tukiangazia mfumo huo , tutagundua kuwa rais Erdoğan katika mfumo wa harakati zake za seraz a nje za Uturuki ni kurejea  katika asili kwa kuweka mbelea maslahi ya wahusika wote katika athari za sera za nje.

Kutoka katika  kitivo cha utafiti wa kimataifa chuo kikuu cha Karatekin Daktari Cemil Doğaç İpek anatufafanulia

 Habari Zinazohusiana