Waziri wa utalii apongeza maendeleo makubwa Uturuki

Numan Kurtulmuş , Waziri wa utalii wa Uturuki apongeza maendeleo makubwa katika sekta ya utalii

Waziri wa utalii  apongeza  maendeleo makubwa Uturuki

Waziri wa utalii wa Uturuki Numan Kurtulmuş  amesema kuwa sekta ya utalii nchini Uturuki imevunja rikodi  mwa 2018 na kupiga atua kubwa ambayo ilikuwa haijatokea katika historia.

Numan Kurtuluş amesema kuwa sekta ya utalii Uturuki imevunja rikodi katika kipindi kifupi cha miezi mitano ya kwanza ya mwaka 2018. 

Watalii milioni 11,5 wametembelea Uturuki. Idadi hiyo inaonekana kuzidi kuongezeka.Habari Zinazohusiana