Dybala agunduliwa kuwa na virusi vya corona

Mchezaji nyonta wa Argentina wa timu ya Juventus Dybala apimwa na kugunduliwa na virusi vya corona

1382901
Dybala agunduliwa kuwa na virusi vya corona


Mchezaji nyonta wa Argentina wa timu ya Juventus Dybala apimwa na kugunduliwa na virusi vya corona.

Mchezaji nyota wa Argentina wa Juventus  kwa jina la Paulo Dybala amepimwa na kugunduliwa kuwa na virusi vya corona.

Taarifa iliotolewa  na uongozi wa timu  hiyo ya Juventus imefahamisha kwamba  Dybala amepimwa na kugunduliwa kuwa na  maambukizi ya  Covid-19.

Mchezaji huyo amejitenga baada ya kufanyiwa vipimo hivyo vya corona.
 Habari Zinazohusiana