Jogoo la London laendelea kuwika

Liverpool yaendelea kuongoza ligi bila kupoteza mchezo, yairarua Sheffield Unt goli 2-0

Jogoo la London laendelea kuwika

Katika ligi kuu ya Uingereza (Premier League) Liverpool imeendelea kupeta kwa kupata ushindi wa 11 mfululizo baada ya kuichabanga Sheffield United goli 2-0.

Liverpool inayoongoza ligi  ikicheza katika juanja wake wa nyumbani, Anfield stadium, ilijipatia goli la kwanza kupitia kwa Muhammed Salah mnamo dk 4 ya mchezo. Sadio Mane aliindikia Liverpool goli 2 mnamo dk ya 64 ya mchezo.

Kwa matokeo hayo  Liverpool wamefikisha alama 58 wakiwa hawajapoteza mchezo, Sheffield wamebaki na alama 29.

 Habari Zinazohusiana