Leo Katika Magazeti ya Uturuki

Leo Katika Magazeti ya Uturuki

1393501
Leo Katika Magazeti ya Uturuki

Hürriyet "Ujenzi wa hospitali Sancaktepe waanza"

Rais wa Uturuki Recep TayyıpErdoğan alifahamisha Jumatatu kuwa  zitajengwa hospitali mbili mjini Istanbul katika juhudi za kupambana na virusi vya corona, ujenzi wa hospitali hizo tayari umeshaanza. Ujenzi wa hospitali ya Sncaktepe umenza rasmi. Malori  na vifaa vingine vya ujenzi tayari vimeaanza kuwasili katika  eneo lililoandaliwa kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Sancaktepe.

Star "Daktari alieshinda virusi vya corona awa wa kwanza kutoa vimelea vya damu"
Daktari wa kwanza alieshinda dhidi ya virusi vya corona awa wa kwanza kutoa vimelea vya damu kwa  kujitolea.  Umetoa vimelea hivyo kwa shirika la  Kızılay. Kürşat Demir awa daktari wa kwanza.

Sabah " Shirika la Kızılay na vimelea vya damu"
Mkurugenzi wa shirika la Kızılay Kerem Kınık  amesema kuwa katika zoezi la kuksanya  vimelea vya "plasma" katika damu kwa watu wanaojitolea, shirika hilo la afya limefahamisha kuwa kwa sasa lina uwezo wa kuchukuwa damu kwa 750 kwa siku na kuanza kuitumia kwa muda wa siku 14.

Yenişafak "ASELSAN na kifaa cha kupumlia nyumbani"
Mkurugenzi msaidizi wa shirika la sayansi na utafiti wa vifaa vya ulinzi ASELSAN  amesema kuwa shirika hilo limeanza kutengeneza vifaa vya kupumlia  katika mapambano dhidi ya  virusi vya corona ambavyo ni tishio ulimwenguni.  Görgün amesema kuwa tubaki majumbani mwetu huku tukiendndelea na utafiti ili tuweze  kuwaponya watu walioathirika na virusi vya corona. Usiku na mchana tuwe imara ili tufaanikishi  mradi wetu.

Vatan " Idadi ya wafanyakazi wasioripoti kazini Uturuki"
 Ripoti iliotolewa kufuatia agizo la kutotoka nje  kutokana ana virusi vya corona imetolewa , kwa mujibu wa ripoti hiyo katika mataifa  131 , Uturuki asilimia 45 wanaripoti kazini.Habari Zinazohusiana