Rais Erdoğan : "Uamuzi kuhusu Hagia Sophia uwe wenye manufaa"

Rais wa Uturuki azungumza kuhusu uamuzi uliochukuliwa kuhusu mskiti wa Hagia Sophia

1452912
Rais Erdoğan : "Uamuzi kuhusu Hagia Sophia uwe wenye manufaa"


Rais wa Uturuki azungumza kuhusu uamuzi uliochukuliwa kuhusu mskiti wa Hagia Sophia.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kuhusu jumba la makumubsho la Hagia Sophia kupewa hadhi yake ya mskiti  na uongozi wa masuala ya kidini.

Katika ujumbe wake huo katika ukurasa wake wa Twitter, rais wa Uturuki  amesema kwamba barazza la mawaziri limefuta Ijumaa  Julai 10 mwaka 2020 uaumuzi wa Novemba 24 mwaka  1934 uliokuwa ukitambua Hagia Sophia kama jumba la makumbusho na sasa kuwa nyumba ya ibada.Habari Zinazohusiana