Mkurugenzi wa mawasiliamo ikulu Uturuki akemea uamuzi wa Twitter

Mkurugenzi wa kitengo kinachohusika na  mawasiliano ikulu  Uturuki amekemea aumuzi wa  Twitter

1434911
Mkurugenzi wa mawasiliamo ikulu Uturuki akemea uamuzi wa Twitter


Mkurugenzi wa kitengo kinachohusika na  mawasiliano ikulu  Uturuki amekemea aumuzi wa  Twitter.

Fahrettin Altun, mkurugenzi wa kitengo kinachohusika an mawasiliano ikulu ya rais mjini Ankara amekamea vikali uamuzi uliochukuliwa na uongozi wa mtandoa wa kijamii wa Twitter.

Twitter imechukuwa uamuzi wa  kufunga baadhi ya kurasa   zinazopatikana katika mtandoa huo.

Mkurugenzi huyo  katika taarifa aliotoa Ijumaa imefahamisha kuwa  uongozi wa Twitter umefunga   kurasa  7000  za Uturuki katika  mtandoa wa Twitter.

Tuhuma kwamba kuna  kurasa  zinazomuunga mkono rais wa Uturuki  ambazo zinasimamiwa na  kituo kimoja  ni tuhuma zisizokuwa za kweli na jambo lisilokubalika.Habari Zinazohusiana