Ujumbe wa Usiku wa Cheo kutoka kwa rais wa Uturuki

Rais wa Uturuki  awatakia waislamu Usikuwa wa "Laylat al Qadr" mwema

1420501
Ujumbe wa Usiku wa Cheo kutoka kwa rais wa Uturuki


Rais wa Uturuki  awatakia waislamu Usikuwa wa "Laylat al Qadr" mwema.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan awatakia usiku mwema wa cheo waislamu wote ulimwenguni, Usiku wa Cheo ni Usiku ambao unafahamika katika utamaduni wa kiislamu kama usiku wa "Laylat al Qadr" usiku ambao  nimuhimu mno katika usiko zote za mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Rais Erdoğan ametoa ujumbe wake huo kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Ni usiku ambao kwa  mujibu wa kiislamu ndio kitabu kitakatifu Quran kilishushwa.

Rais Erdoğan amemuomba muumba  usiku huo kuwa usiku  utakaopelekea mafaanikio ulimwenguni.

Ujumbe wake huo umeambatanishwa   na aya  tatu za sura t  il Al Qadr.Habari Zinazohusiana