Watu 7 wauawa katka shambulizi nchini Marekani

Watu 7 wauawa akiwemo mshambuliaji katika shambulizi la asilha lililotokea Milwaukee Marekani

Watu 7 wauawa katka shambulizi nchini Marekani


Watu 7 wauawa akiwemo mshambuliaji katika shambulizi la silaha lililotokea Milwaukee Marekani.

Watu 7 waripotiwwa kufariki akiwamo mshambuliaji katika shambulizi lililotekelezwa  Milwaukee katika jimbo la Wisconsin nchini Marekani.

Rais wa Marekani Donald Trump  alifahamisha kwamba watu watano wameuawa katika shambulizi  hilo katika  mkutano na wanahabari kuhusu virusi vya corona.

Mkutano kati ya rais Trump na wanahabari umefanyika ikulu White House ambapo pia amezungumza kuhusu janga la virusi vya corona.

Vyombo vya habari kwa upande wake nchini Marekani vimefahamisha kuwa  watu 7 akiwemo mhalifu aliendesha shambulizi hilo ndio waliofariki katika shambulizi hilo.

Trump ametoa mkono wa pole kwa familia za wahanga  wa shambulizi hilo.

Hakuna taarifa zaidi ambazo zimetolewa kuhusu  mshambuliaji na sababu zilizompelekea kuendesha  shambulizi hilo.Habari Zinazohusiana