Kamerun yarejesha tani 50 000 za takataka za kielektroniki nchini Ufaransa

Kamerun yarejesha  takribani tani 50 000 za takataka za kielektroniki  nchini Ufaransa

Kamerun yarejesha tani 50 000 za takataka za kielektroniki nchini Ufaransa


Kamerun yarejesha  takribani tani 50 000 za takataka za kielektroniki  nchini Ufaransa.

Kulingana na Umoja wa Mataifa, mataifa yalioendelea  ndio  yanayoagiza takataka za kieletroniki barani Afrika.

Takataka hizo sio tu barani Afrika zinakopelekwa bali hupelekwa pia  katika mataifa ya bara la Asia.

Kamerun kwa upende wake imechukuwa uamuzi wa kurejesha takataka hizo  nchini Ufaransa.

Ni tani 50 000 za takataka hizo zimerejeshwa nchini  Ufaransa.

Ripoti ya shirika la  Kamerun  la "Terre Vivante"  limetahadharisha  kuhusu ongezeko la takataka  za kielektroniki  katika miaka ya hivi karibuni.

Kiwango cha taka hizo mwaka 2016 ilikuwa tani  12 000 na kuripitiwa kuongezeka hadi kufikia tani 14 900 mwaka  2019.

Gilles Azemazi , mkurugenzi wa shirika hilo la FCTV amesema kuwa Kamerun haina uwezo wa kurejeleza takataka hizo ndio maana umechukuliwa uamuzi wa kurejesha taka hizo nchini Ufaransa.
 Habari Zinazohusiana