Idadi ya vifo kutokana na virusi vya  Corona yafikia watu 41

Idadi ya watu ambao umekwishafariki kutokana na virusi vya Corona yaongezeka na kufikia watu 41

Idadi ya vifo kutokana na virusi vya  Corona yafikia watu 41


Idadi ya watu ambao umekwishafariki kutokana na virusi vya Corona yaongezeka na kufikia watu 41.

Watu 41 wamekwishafariki na wengine 1287 wameambukiwa na virusi hivyo tangu kungunduliwa  Wuhan nchini China.

Miongoni mwa watu ambao wamekwishaambukizwa virusi hivyo 237 wapo katika hali mbaya.

Watu wengine  1965 wanashukiwa kuwa wameambukiwa na virusi hivyo, ni watu 38 ambao wamekwishapatiwa matibabu.

Watu wawili wamepimwa na kukutwa na virusi hivyo nchini Marekani,  wawili Korea Kusini, Japani wawili, Thailand wanne na Taiwan watatu.
 Habari Zinazohusiana