Leo Katika Historia

Leo Katika Historia

Leo Katika Historia

Januari 17 mwaka 1944,  mapigano ya Monte Cassino , moja miongoni mwa mapigano makubwa  katika vta vya pili  vya duni yalianza.
Januari 17 mwaka  1605,  kipengele cha kwanza cha Don Quichotte , kitabu ambacho kimechukuliwa kama kitabu cha kwanza  kilichochapishwa nchini Uhispania.  Mtunzi  hakuchapishwa toleo la pili hadi baada ya miaka 10 baadae.
Januari 17 mwaka  1944,  Mapigano la Monte Cassino, mapigano makubwa katika vita vya pili vya dunia  yalianza . Mapigano   hayo yalinza karibu na jengo la makuhani la Monte Cassino nchini Italia.  Jeshi la Ujerumani  lilizuia jeshi la washirika kwa muda wa miaka mitano.  Zaidi ya wanajeshi 75 000  wa pande zote mbili  waliangamia.
Januari  17  mwaka 1995 , mji wa Kobe nchini Japan ulikumbwa na tetemeko la ardhi ambalo lilikuwa na ukubwa wa  7,2 katika kipimo cha Richter. Watu  6434 walifariki  na wengine zaidi ya  40 000 walijeruhiwa.
 


Tagi: historia

Habari Zinazohusiana