Mkutano wa kimataifa  kuhusu Libya kufanyika nchini Ujerumani

Msemaji wa serikali ya Ujerumani afahamisha tarehe ya kufanyika kwa mkutano  kuhusu Libya mjini Berlin

Mkutano wa kimataifa  kuhusu Libya kufanyika nchini Ujerumani


Msemaji wa serikali ya Ujerumani afahamisha tarehe ya kufanyika kwa mkutano  kuhusu Libya mjini Berlin.

Steffen Seibert, msemaji wa aserikali ya Ujerumani afahamisha Jumatatu kuwa mkutano kuhusu Libya unatarajiwa kufanyika mjini Berlin ifikapo Januari  19.

Katika mkuano huo kutajdiliwa  mikakati inayostahili ili kuahkikisha kwamba amani na utulivu vinarejea nchini Libya tangu kuuawa kwa Muammar Gaddafi.

Msemaji huyo wa serikali ya Libya amenukuliwa katika kituo cha Runinga  cha Euronews akisema kuwa mataarisha ya   mkutano huo yanakwenda kama inavyotarajiwa.

Kuandaliwa kwa mkutano  huo kufanyaika nchini Ujerumani imetangazwa wakati ambapo mazungumzo  kuhusu Libya yakifanyika nchini  Urusi.

Fayez Al Sarraj amesaini makubaliano ya mazungumzo huku  mbabe wa vita nchini Libya Haftar akifahamisha  kutoa muda ili kujiandaa iwapo ataridhia kusaini makubaliano ya kusitisha mapigano dhidi ya serikali ya Tripoli.
 Habari Zinazohusiana