Mapishi ya Kisultani wiki ya Pili

Mapishi ya Kisultani wiki ya Pili

Mapishi ya Kisultani wiki ya Pili

Wiki hhi katika kipindi chetu Mapishi ya kisulatani tanakuletea  mapishi  kutoka mkoani Bursa, mji mkuu wa Himaya ya Uthmania mkoani humo.
Wiki hii tutakupikieni  nyma ambayo  chimbuko lake la upishi ni mkoani Bursa katika  kijiji cha Cumalıkızık. Kijiji ambacho kimeorodheshwa katika mirathi ya ulimwengu na shirika la kimataifa la Sayansi na utamaduni UNESCO.
Nyma hiyo hupikwa baada  kukusanya viungo vifuatavyo.
:
Nusu kilo ya nyama ya ng ombe ilisangwa
Nyanya 3
Vitunguu thumu vitatu
Maziwa mtindi  glasi moja
Chapati moja
Siagi gramu 400
Chumvi
Pilipili manga
Yunus Emre Akkor  hapa anatuelekeza  namna ya kupiga nyma hiyo.Habari Zinazohusiana