"Jisikieni faghari kwa asili yenu"

Rais Erdoğan awaambia waturuki waishio  ugenini kuwa  wajiskia fakharia kuwa waturuki

1324761
"Jisikieni faghari kwa asili yenu"


Rais Erdoğan awaambia waturuki waishio  ugenini kuwa  wajiskia fakharia kuwa waturuki.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan awaambia waturki waishio nje ya Uturuki kuwa ni pamoja na idadi ya  waturuki zaidi ya milioni 82.

Rais Erdoğan amewaambia waturuki hao kuwa wajisikia faghari kwa asili yao ya kituruki.

Katika hotuba yake rais wa Uturuki amesema kuwa kila mturuki ambae anaishi ugenini anatakiwa kujisikia kama muakilishi wa Uturuki pale alipo.

Hayo ameyazungumza katika hafla ilioandaliwa  nchini Uswisi ambayo ilihudhuriwa na jamii ya waturuki iishio nchini humo.

Hafla hiyo imeandaliwa  katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhamiaji wa waturuki barani Ulaya.

Rais Erdoğan amejielekeza nchini Uswisi Jumatatu kushiriki katika mkutano wa  kimataifa kuhusu wakimbizi ambao unatarajiwa kumalizika Jumatano.

Katika mkutano huo kunatarajiwa kuzungumziwa masuala tofauti kuhusu wakimbizi.

Rais Erdoğan amesema  jambo muhimu kwa kizazi kipya ambacho kinaishi ugenini ni kuwa na ushirikiano na taifa lao.
 Habari Zinazohusiana