Rais Erdoğan azungumza na kamishna mkuu mpya wa Umoja wa Ulaya

Rais Recep Tayyıp Erdoğan azungumza na kamishna mkuu mpya wa Umaoja wa Ulaya kuhusu wakimbizi wa Syria

Rais Erdoğan azungumza na kamishna mkuu mpya wa Umoja wa Ulaya

Rais Erdoğan azungumza na kamishna mkuu mpya wa Umoja wa Ulaya.

Rais Recep Tayyıp Erdoğan azungumza na kamishna mkuu mpya wa Umoja wa Ulaya kuhusu wakimbizi wa Syria

Rais wa Uturuki azungumza kwa njia ya simu na kamishana mkuu mpya wa Umoja wa Ulaya kuhusu masuala tofauti ikiwemo saula zima kuhusu kurejeshwa kwa wakimbizi kutoka nchini Syria .

Rais Erdoğan katika mazungumzo yake na kamishna Ursula von der Leyen Jumapili amesema kuwa Uturuki inahitaji ushirikiano.

Taarifa kutoka ikulu mjini Ankara zimesema kwamba suala zima kuhusu mikakati na jitihada za Uturuki kutaka kujiunga na Umoja wa Ulaya limejadiliwa pia kati ya viongozi hao wawili.Habari Zinazohusiana