Rais Erdoğan azungumza na rais wa Azerbaijan

Rais Erdoğan azungumza na rais wa Azerbaijan kuhusu ushirikiano katika ukanda

Rais Erdoğan azungumza na rais wa Azerbaijan

 

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na  rais wa Azerbaijan İlham Aliyev na Şarkat Mirziyoyev kuhusu  katika sekta tofauti  kati ya mataifa hayo na ushirikiano katika ukanda.

Suala zima kuhusu hali inayoendelea  katika ukanda imezungumziwa katika mazungumzo yao.Habari Zinazohusiana