Korea Kaskazini yakazana na makombora yake

Korea  Kaskazini imeendelea kufyatua na kufanyia majaribio makomborayaje ya Nyuklia kutokea Pyongyang.

1198458
Korea Kaskazini yakazana na makombora yake

Korea  Kaskazini imeendelea kufyatua na kufanyia majaribio makomborayaje ya Nyuklia kutokea Pyongyang.

Kulingana na kituo cha habari cha Korea Kusini Yonhap,majira ya saa 16:30 Pyongyang imefyatua kombora kuelekea upande wa mashariki kama sehemu ya majaribio ya makombora yake.

Uwezo wa makombora hayo haujafafanuliwa zaidi.

Mnamo Mei 4,Korea Kaskazini ilifyatua makombora mengi ya masafa mafupi kuelekea katika bahari ya Japan.

Kituo cha habari cha KCNA kimemuonyesha rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un akitizama urushaji wa makombora hayo.Habari Zinazohusiana