Hulusi Akar, Marekani na mfumo wa kujilinda na makombora S-400

Waziri wa ulinzi wa Uturuki ajibu maswali ya waandishi wa habari  katika ziara yake nchini Marekani

Hulusi Akar, Marekani na mfumo wa kujilinda na makombora S-400

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar ajibu maswali ya waandishi wa habari  katika ziara yake nchini Marekani.

Katika mazungumzo yake hayo na waandishi wa habari, Hulusi Akar amesema kwamba mfumo wa kujihami na makombora wa S-400 kutoka Urusi  ni kwa ajili ya usalama  na ulinzi wa jiji la Ankara na Istanbul.

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar amezungumzia mfumo wa kujihami  na makombora wa S-400  na kusema kuwa  mfumo huo umenunuliwa kutoka Urusi kwa ajili ya usalama wa Ankara na Istanbul.

Hulusi Akar ameendelea kufahamisha kuwa Uturuki ilikuwa na haja ya mfumo wa kujihami na makombora na usalama wa anga lake ndio sababu ya kununua mfumo huo wa S-400.

Kuhusu usalama na ulinzi, ndege za kivita  aina ya F-35 zitakuepo katika  kituo cha jeshi  kilichopo mkoani Antalya.Habari Zinazohusiana