Leo katika Historia

Leo katika Historia

1169859
Leo katika Historia

Machi 25 mwaka 1951 Sinagogi la Neve Shalom mjini Istanbul lilifunguliwa kwa ajli ya ibada.

Machi 25 mwaka 1957, Ufaransa , Ujerumani, Italia, Ug-belgiji, Uholanzi na Luxembourg  walikutana mjini Roma kwa ajili  ya kusaini makubaliano ya jumuiya ya ushirikiano wa Ulaya na  nishati ya nyuklia.

 Machi 25 mwaka 1975, Mfalme  Faysal  wa Saudia Arabia aliuawa  mjini Riyadh  na mwipwa wake  Faysal ibn Mussad ambae  alitanjwa kuwa alikuwa na maradhi ya akili.

Machi 25 mwaka 1986 , filamu ya Muammer Özer « Bir Avuç Cennet » na « Bekçi » ya Ali Özgentürk zilipata ushindi wa pamoja katika  tamasha la 14 la filamu lililoandaliwa mjini Strasbourg.

 Machi 25 mwaka 2009 Muanzilishi wa cha muungano Muhsin Yazıcıoğlu aliaga dunia  katika ajli ya helikopta  aliokuwa akikodiwa na chama cheke.Habari Zinazohusiana