Uturuki yalaani shambulizi  la Utrecht Uholanzi

Uturuki yalaani vikali shambulizi lililotekelezwa  mjini Utrecht nchini Uholanzi

Uturuki yalaani shambulizi  la Utrecht Uholanzi

Watu watatu wauawa na wengine wajeruhiwa katika shambulizi lililotekelezwa mjini Utrecht nchini Uholanzi.

Uturuki imefahanisha kuwa kitendo cha mtu aliendesha shambulizi hilo kuwa mzaliwa wa Uturuki hakibadili msimamo wa Uturuki dhidi ya ugaidi.

Tangazo lililotolewa na wizara ya  mambo ya nje ya Uturuki limelaani vikali shambulizi  hilo.

Jeshi la Polisi la Uholanzi limefahamisha kuwa mtu aliendesha shambulizi hilo huenda ni Gökmen T , kijana mwenye umri wa miaka 37 aliezaliwa Uturuki.Habari Zinazohusiana