Marekani na tatizo la ajira

Wiki iliyopita kiwango cha waliojiandikisha kuhitaji mshahara wa wasiokuwa na ajira, imevunja rekodi

Marekani na tatizo la ajira

Wiki iliyopita Nchini Marekani idadi wa watu waliokuwa wamejisajili kwenye orodha ya  wanaohitaji mshaara wa kutokuwa na kazi ilikuwa ni 234,000. Kiwango ni kikubwa kabisa kupata kurekodiwa ndani ya miezi 6.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na wizara ya kazi ya nchi hiyo, kwa mara ya kwanza idadi ya waliojiandikisha kuhitaji mshaara wa wasiokuwa na kazi  katika wiki inayoishia Novemba 24 ukilinganisha na wiki iliyotangulia iliongezeka kwa watu 10,000 kufanya idadi kufikia 234,000.

Kuanzia mwezi Mei mpaka hivi sasa Idadi kubwa  ya walijisajili kutokuwa na kazi wanaosubiri soko la ajira ilikuwa ni 220,000. Kufikia wiki iliyopita wastani wa watu waliokuwa wakijiandikisha kuhitaji mshahara wa kutokuwa na kazi ilikuwa 4,750 hivyo kufanya idadi kufikia 223,250

Mayıs ayından bu yana en yüksek seviyesini kaydeden başvurulara yönelik piyasa beklentisi 220 bin olarak belirlenmişti. 

Veriler, ayrıca geçen hafta itibarıyla dört haftalık ortalama işsizlik maaşı başvurularının 4 bin 750 kişilik artışla 223 bin 250 seviyesine yükseldiğini gösterdi. 

Kufikia Novemba 17 jumla ya idadi waliojiandikisha kwenye orodha ya wanaohitaji mshahara wa wasiokuwa na kazi ilifikia milioni 1 laki saba na kumi elfu imefahamishwa.

 


Tagi: Ajira , Marekani

Habari Zinazohusiana