Ni wapi Marekani inakoelekea?

Kutoka katika  chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit  , kitengo cha siasa , Profesa Daktari Kudret BÜLBÜL anatafafanulia

Ni wapi Marekani inakoelekea?

Ni wapi Marekani inapoelekea?

Katika kipindi cha nyuma tumeshuhudia  ugaidi kuungwa mkono kufuatia kuka matwa kwa mchungaji wa Marekani amabe alituhumiwa kushirikiana na kundi la kigaidi.

Mchungaji wa Marekani Brunson alikamatwa  na kupelekea ushirikiano kati ya Marekani na Uturuki. Mazungumzo kuhusu jambo hilo yanaendelea.  Suala hilo limezungumzwa  kwa kiasi kikubwa  katika vyombo vya  habari.

Mzozo kati ya Marekani na Uturuki unastahili kujadili na mbinu za kufikia kunako maelewano. Mzozo wa Uturuki na Marekani ilanza tangu  uamuzi wa Uturuki kununua mfumo wa makombora kutoka Urusi aina ya S-400, vile vile  uamuzi wa Marekani kutangaza jiji la Yerusalemu kama mji mkuu wa Israel na msimamo wa Uturuki kupinga uamuzi huo na Umoja wa Mataifa kupiga kura  ambayo matokeo yake yalipinga uamuzi huo. Na sasa tunashuhudia  tukio la Uturuki kuamakamata mchungaji Brunson ambae alituhumiwa kushirikiana na kundi la kigaidi.

Kundi la PKK ni kundi ambalo lnatambulika vema kimataifa kuwa ni kundi la kşgaidi, hivyo basi  Uturuki haikuwa na budi kumuweka chini ya ulinzi Brunson baada ya kuonekana kuwa na ushirikiano na magaidi wa kundi hilo. Kundi la YPG  ni tawi la kundi la PKK . W anamgambo wa kundi hilo wanapewa usaidizi kutoka Marekani. Usaidizihuo n i pamoja na sialaha. Kama ilivyo Septemba 11 vivo hivyo Uturuki inachukuliwa jaribio la mapinduzi la Julai 15. Kiongozi wa kundi la  wahaini wa FETÖ amepewa hifadhi nchini Marekani na ikiendelea kuishi katika mazingizi salama na ulinzi mkubwa licha ya Uturuki kutoa nyaraka  ambazo zinaonesha ushahidi kuwa kiongozi huyo anahusika na jaribio la mpinduzi lililopelekea maafa Uturuki.

 Tunaweza kutoa mzano  ili kuweza kuelewa vema  harakati za Marekani na mtazamo wa raia wa Uturuki.  Mwenendo wa Marelakni dhidi ya Uturuki unapelekea kujiuliza na kuangalia mtazamo wa raia wa Uturuki .  Taifa ambalo lilitoa hifadhi isiokuwa rasmi kwa Osama bin Laden  na juhudi za Marekani  kukabiliana nae ilikuwa sio za kawaida.

 Licha ya kuzungumzia  matukio tofauti ambayo yanaonekana kuwa mgogoro na mvutano kati ya Uturuki na Marekani, Marekani haina  mgogoro  na Uturuki pekee bali na mataifa mengine.  Marekani ipo katika hali ya vuta ni kuvute  na China, Urusi, Umoja wa Ulaya na Ujerumani.  Kuna hali pia isioridhisha  kati yake na Mexico, Canada , taifa ambalo  lililkuwa bado halijatokea  katika historia.  Bila ya kuzungumzia  mzozo uliokuepo na Korea Kaskazini na Iran. Mzozo na Korea ulikuwa umeonekana  kupatiwa  ufumbuzi.

Ndio maana  itakuwa  sio vema  kuzungumzia  hali hiyo  au mgogoro huo katika ya mataifa  mawili pekee.

Vile vil haitokuwa sahihi  kuzungumzia hali hiyo  katika uongoziwa Trump pekee. Ndio tanushuhudia  mizozo tofauti katika utawala wa Trump ila tunatakiwa kuangalia sababu zilizopelekea mzozo hiyo katika utawala wa Trump na ulimwengu mzima.

Tunaweza  kutaja  moja ya  mizozo ni mzozo wa kimataifa ambao ulipelekea  kuanguka kwa uchumi. Hali hiyo ilipeleka Marekani kutoka kunufaika na utawazi. Kutokana na ushindani  uliokuwepo mataifa yalionufaika sio Marekani na Umoja wa Ulaya bali  China, India, Brazil na Uturuki. Wakati huo  huo uchumi wa Marekani   ulikuwa ukikumbwa na misukosuko na baadhi ya wachambuzi walifahamisha kuwa ndşo mwisho wa Marekani  umewadia.

Tunaona kuwa  Marekani  haina ushindani wa kutosha ulimwenguni, uchumi na soko huria na soko la ushirikiano.  Moja ya sababu zinazopelekea Marekani kuwa na uchokozi na kutumia nguvu .   hivyo basi  wasomi wanatakiw akubadili m tazamo kuhusu utandawazi wanatakiwa kuzungumzia pia utawazi sio tu mataifa tajiri kuzidi kuwa tajiri na mataifa maskini kuzidi kuwa maskini na maskini kuwa maskini zaidi.  Kutokana na kwamba  uongozi wa Trump  haukuwa na faida kubwa na  utandawazi, utwala wake  amelenga  uchumi na soko huria, na siasa za mfumo unaoshabihiana na  utandawazi.

  Matokeao ya uzongozi wa Trump kuongeza kodi ni kupelekea wawekeza kuondoka Marekani na  kwenda kuwekeza nje ya nchi. Mwenendo  huo wa utawala wa Trump  unaathiri  biashara  kimataifa na Marekani pia . 

 Athari hizo wenye kuathirika msatari wa kwanza ni raia  ambao hutumia bidhaa hizo katika maisha ya kila siku. Sababu ya pili ni kukuwa na makundi ya kidini  na imani,  jamii na  vikundi vya kiimani katika utawala wa  Marekani. 

Uamuzi uliochukuliwa na  serikali ya Marekani  kuhusu Yerusalemu na mchungaji Brunson inakumubsha kuwa  makamu wa rais  Mike Pence  na Bush ni wainjilisti. Tunaweza pia kuzungumza  kuhusu mgogoro katika uongozi wa Marekani. Idara ya Ulinzi, ikuku  vimekuwa vikichukuwa maamuzi  tofauti  katika  mijadala tofauti.

 Tunaweza pia kuzungumzai kuhusu mgogoro katika uongozi  nchini Marekani.

Idara ya ulinzi  na seriakali vinaoneaka kuwa katika hali ambayo inaaeshiri kuwa hakuna maelewano katika kuchukuwa maamuzi.  Katika  masuala tofauti  kumekuwa na upinzani katika kuchukuwa uamuzi.  Matakwa  ya wamarekani katika masuala tofauti  katika jamii Marekani yanashinikiza serikali .  moja miongoni mwa sababu za  ubabe wa Trump ni  harakati  katika ushirikiano.

Ni yapi yatahitajika ikiwa mzozo kati ya Uturuki na Marekani ukavuka mipaka?

 Ndio, tunaweza kuzungumzia kuhusu mzozo huo ambao sio tu mzozo unaohusu Marekani na Uturuki bali ulimwengu mzima.

Kulingana na mtazamo wa kisiasa na sera za Marekani, kuingilia saula zima la uchumi na kufunga  ushirikiano katika forodha  , kwa mtazamo wake ni  kudhoofishwa kwa soko huria. Hali hiyo itapeleka  athari kwa mataifa yote.

Sera hizo na mbinu hizo za Marekani ni kwa lengo la kuizuia China na mbinu ambazo tayari zimekwishaeleweka.  Kwa upande mwingine tunawez kuzungumzia mashika makubwa ya kimataifa ambayo yana ushawishi katika uchumi kama benki ya dunia na shrikisho la biashara  la kimataifa, Benki ya Dunia  na  soko la fedha na sarafu ya kigeni  mashirika hayo yanatakiwa kuwa na msimamo mmoja dhidi ya mfumo huo.  Kuendelea kushirikiana na Marekani na mchezo wake ni kuingiza vitisho katika mataifa yote ulimwenguni.

Tunatambua ni wapi ulimwenguni ulikofikia kutokana na  misimamo yak nazi na kifashisti wakati wa vita vya pili vya dunia na kuongezeka kwa makundi ya misimamo mikali Mashariki ya Kati.

 Vile vile ushawishhi wa makundi ya kidini katika uongozi wa Marekani kama kundi la wainjilisti, kundi ambalo linafahamika kuwa kundi la zayuni haitokuwa na manufaa uliwenguni.

Pande huru Marekani  unatakiwa kuwa amkini na uhatari wa jambo hilo.

Katika ami kunaweza kutoka  mizozo ya namnanyingi ikiwa kisiasa, kijamii, kuchumi na kştamaduni katika kipindi  fulani, ufumbuzi wake  huwa ukipatikana kwa uhudi za viongozi wake wenye busara na wenye mitazamo yenye manufaa katika jamii.

Uongozi wa rais wa Marekani Donald Trump  hautoa matumaini katika ambo hilo.  Tusiwe wenye kupoteza matumani licha ya kuona kwamba  sera zilizopo ulimwenguni hazito matumaini.

Kutoka katika  chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit  , kitengo cha siasa , Profesa Daktari Kudret BÜLBÜL anatafafanulia

 Habari Zinazohusiana