Ajali ya ndege yasababisha vifo vya watu watano California

Ndege ndogo imeanguka na kusababisha vifo vya watu watano California,nchini Marekani.

1026983
Ajali ya ndege yasababisha vifo vya watu watano California

Ndege ndogo imeanguka na kusababisha vifo vya watu watano California,nchini Marekani.

Wazima moto wameripoti kuwa ndege hiyo imeanguka kusini mwa jimbo hilo.

Hakuna mtu yoyote aliyejeruhiwa wala mali kuharibiwa sehemu ndege hiyo ilipongukia.

Uchunguzi zaidi kuhusu ajali hiyo unaendelea.Habari Zinazohusiana