Tetemeko la ardhi lasababisha vifo vya watu 10 Indonesia

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.4 limesababisha vifo vya watu 10 katika kisiwa cha Lombok nchini Indonesia.

1021638
Tetemeko la ardhi lasababisha vifo vya watu 10 Indonesia

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.4 limesababisha vifo vya watu 10 katika kisiwa cha Lombok nchini Indonesia.

Watu arobaini  wameripotiwa kujeruhiwa kilomita hamsini kutoka katika mji wa Mataram.

Majumba mengi yameangamizwa.

Kituo cha utafiti cha Geologia cha Marekani kimeripoti tetemeko hilo kufika kina cha kilomita 7.5.Habari Zinazohusiana