Georgia kuwa mwanachama wa NATO

Katibu mkuu wa NATO Stoltenberg asema kuwa Georgia intarajşwa kuwa mwanachama wa NATO

Georgia kuwa mwanachama wa NATO

 

Katibu mkuu wa muungano wa jeshi la kujhami la Magharibi NATO Jens Stoltenberg amesema kuwa Georgia inatarajiwa kuwa mwanachama katika muungano huo.

Hayo yalifahamisha Alkhamis ikiwa siku ya pili na ya mwisho ya mkutano wa NATO uliofanyika mjini Brussels nchini Ubelgiji.

Jens Stoltenberg aliwafahamisha waandihsi wa habari katika mkuno kuwa taifa hilo kwa sasa linatarajiwa kuwa mwanachama wa muungano wa kujihami wa Magharibi NATO.

Jens Stoltenberg ameendelea kufahamisha kuwa Georgia  imefanaya mabadiliko makubwa  ili kujiunga na NATO. Kuhuhu kujiunga kwa Ukraina na NATO, Jens Stoltenberg  amesema kuwa hali inayojiri Mashariki mwa Ukraina bado inatia wasiwasi na kulaani Urusi kwa kunyakuwa eneo la Krimea.

 Habari Zinazohusiana