Msafiri anaetafuta utamaduni uliopotea : Fuat Sezgin

Kutoka katika chuo kikuu cha  Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa, Daktari Krudret BULBUL  anatuchambulia mada yaetu  kuhusu mwanasayansi huyo…

1004724
Msafiri anaetafuta utamaduni uliopotea : Fuat Sezgin

Mwanasayansi alijitolea maisha yake kutoa mchango katika ulimwengu wa kiislamu na miongoni mwa wanasayansi wa kiislamu Profesa Daktari Fuat Sezgin amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94. Mwanasayansi huyo amefariki  mwishoni mwa jumaa.   Mwanasayansi huyo ameacha urithi kubwa  ambaoo kila wakati utakuwa ukikumbukwa. Fuati alikuwa akşfanya kazi zake kama ilivyo mishale ya saa inavyozungua. Mfano huo  unaonesha kuwa Fuat alikuwa akifanya kazi zake kwa moyo.  Tutamzungumzia mwasayansi huyo kwa nini ana utofauti wa kipekee?

Kutoka katika chuo kikuu cha  Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa, Daktari Krudret BULBUL  anatuchambulia mada yaetu  kuhusu mwanasayansi huyo…

Kuzaliwa kwake Bitlis …

Fuati Sezgin amezaliwa Bitlis mwaka 1924.    Akiwa na umri mdogo alijifunza  elimu ya dimi  akiwa na bado na umri  mdogo  akiwa na baba yake na kirabu. Baba yake alikuwa  kiongozi wa kidini.   Baada ya  masomo yake mwakaa 1943 alitunukiwa shahada yake katika chuo kikuu  cha Istanbul.   Fuat amesoma katika kitivo cha lugha katika chuo cha Mashariki.  Hap anazungumzia  Helmutt Ritter mbae ni mjerumani .

Wakati mwingine uovu  unaweza kusababisha jema ...

Fuati akiendelea na masomo yake  mwaka 1960 akiwa pamoja na wanasayansi au wasomi wengine, vyuo vikuu vimewekwa pamoja.  Kosa lake ni kwamba ndugu yenui   ana kinasaba na kiongozi wa DP.Mwalimu akiwa  na umri wa miaka 36 na mtafiti mwenye umri mdogo alitaabika kwa ukosefu wa ajira na kupoteza matumaini Uturuki.  Kama ilivyokwaida watu wenye  kufuata sheria na haki , watu  wenye kuzalisha na kuwa na umuhimu katika jami i wakati ambapo   milango yao hufungwa kwa dhulma katika mataifa  yao basi milango na fusra nyingine kufunguliwa na kujitokeza  kwingineko ulimwenguni.   Fuati katika uhai wake aliweza kuwakutanisha  baadi ya viongozi wenye vyeo ambao baadhi walikuwa rafiki zake na watu wake wa karibu na  kuwafahamisha kuwa hafurahishwi kwa  namna wanavyoendesha  siasa.  Fuati alitoa shukrani na kusema kuwa kama ningekuwa sijasoma nisinge weza kupata udhamini nchini Ujerumani.  Baada ya fursa alizokuwa nazo, Fuat alijielekeza  Marekani na Ujerumani baada ya kuarifiwa. 

Akiwa  ktika hali ya matuamaini  alirejea na mtazamo kuwa Uturuki inapendezwa na Ujerumani.  Kutokana na kazi zake , historia na sayansi katika uislamu ni moja ya kazi zake ambazo  kisayansi zinastahili pongezi katika  historia  ya sayansi ulimwenguni.

Waislamu hawapo katika historia?

Kama tutafıuatilia maisha ya Faut, tutaona kuwa kazi zake zimetoa mchango katika  sayansi ulimwenguni.  Mwanasayansi huyo alikuwa akitembea maktaba moja hadi nyingine kutafuta kile ambacho kitakuwa na umuhimu katika jamii.  Alijihusisha na kazi zake za utafiti  katika sayansi bila ya kufanya kitu kingine.  Kwa hali yake ya kawaida likuwa akitumia mkate na siaga kutokana na muda aliokuwa ajijipa kwa lengo la kuendesha kazi zake.  nİ kipi ambacho Fuati ametoa mchango  katika kazi zake kwa ubinadamu ? Fuati anaheshimu sayansi , katika  maeneo tofauti mwanasayansi huyo anaheshika  kwa utafiti na kazi zake ambazo zina umuhimu katika jamii.  Kihistoria kuna umuhmu mkubwa kufahamu kuwa  sayansi katika ulimwengu wa kiislamu, uislamu umetoa mchango mkubwa katika teknolojia na sayansi, ila leo tunashuhudia kuwa  kwa kiasi kkikubwa  kunazungumziwa  Ugiriki ya zamani na baadae   mabadiliko na muamko wa Ulaya.

 Kulikuwa na na mafunzo tofauti  katila masomo ya  msingi, baada ya mafunzo yalikuwa yakifahamisha kuwa  ulimwengu ulikuwa upo katik a mapembe ya ng ombe.  Vile vile kulikuwa na dhana tofauti kuhusu masuala tofauti kuhusu ulimwengu, masuala kuhusu mtari wa Equater.

Ni nani ambae angeweza kufahamu  kuwa kungezekana kupatikana vipimo?

Fuat alifahamisha kwamba mchango mkubwa kutoka kwa wasomi wa kiislamu kuhusu masuala tofauti katika sayansi na maendeleo katika teknolojia.  Tunatakiwa kufahamu kuwa  wasomi wa kiislamu pia walitoa mchango mkubwa  katika sayansi na falsafa  kama ilivyokuwa Ugiriki  na wakati wa sasa. Athari kubwa zilizoachwa na wasomi wa kiislamu  hanainakana na mchango wake ni kkubwa.

 Licha ya mchango mkubwa uliotolewa na wasomi wa kiislamu, wasomi hao  hawapewi nafasi katika historia.  Ni jambo la kuudhunisha na kuskitisha  kuona kuwa  mat6aia ya magharibi  yamepiga atua kubwa  katika eleimu , sayansi na teknolojia kuliko mataifa ya kiislamu kwa sasa.  Utafiti wa Faut  unapatika katika kazi zake alizofanya.

 http://(http://fazlioglu.blogspot.com/2018/06/prof-dr-ihsan-fazlioglu-prof-dr-fuat-sezgin-ilebilim-tarihi-uzerine-soylesi-pdf.htm)

Utu , mpango na mchango

Fuat Sezgin  ameshawishika na mtazamo wa Ritter  katika nidhamu aliyokuwa nayo.   Hakuwahi kusikia kuzungumziwa . Fuat akikuwa akifanya kazi masaa 13 hadi 14 kwa siku. 

 Muda wa kufanya kazi ungeweza kuongezwa aua kupunguzwa kutokana ana wakati aliokuwa nao katşka utendajimkazi walke kila siku. Masaa 17 hadi masaa 18 kwa siku.  Msomi huyo wa kiislamu na alieleta mchango mkubwa katika sayansi  unatambuliwa. 

Mwanasayansi huyo  ni profasa ambae alnastahili sifa na pongezi katika  ulimwengu wa sayansi katika karne. Umetoa mchangıo mkubwa katika ulimwengu wa kiislamu na utafiti wake aliofanya katika nyanja tofauti kama  utamaduni na sayansi . Vile vile  mchango wake   magharibi kwa ushirikinao na maeneo mengine.

 Fuati alikuwa akiwaamini masomi wengine wa  katika ulimwengu wa kiislamu ambao walikuwa pia na mchango mkubwa ulimwenguni kwa kazi zao walizofanya kwa manufaa ya jamii . 

Hakuna akijali lugha, imani, kabila  bali ujuzi wa mtu katika kutoa mchango wake katika jamii. Alikuwa akiamini kuwa sayansini kwa manufaa ya ulimwengu.

Bila  shaka  kazi za Fuat na mchango aliotoa  katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia. Mchango wake unastahili kupongezwa  miongoni mwa wasomi wa kiislamu waliochangia katika utafiti.

Fuat hakuwa tu mwanasayansi bali mtafiti mkubwa katika ulimwengu wa kiislamu. 

Katika jiji la Frankfort alikuwa na lengo la kutaka kufungua maktaba ambayo  ingeonesha utafiti uliofanywa na  wasomi wa kiislamu. Kufunguliwa kwa taarisii hiyo kungepelekea ulimwengu kuutambua mchangıo uliotolewa na wasomi wa kiiislamu katika sayansi na teknolojia. Makumbusho ya kihistoria yalikuwa na umuhimu mkubwa .  Makumbusho kuhusu utafiti uliofanywa na wasomi wa kiislamu na  sayansi na teknolojia mjini Istanbul na Frankfort.

Ujerumani mbili

Fuati alikuwa akiipa pia Ujerumani umuhimu mkubwa katika maisha yake. Tunafahamu kuwa  wakati ambapo mtu mwema miliango yake ya fursa inajaribu kufungwa kwa dhulama basi milango yake ya fursa  hufunguliwa katika  maeneo mengine na bila kuwa na vizuizi vyovyote vile.  Katika mapinduzi ya mwaka 1960 historia ilibadilika.

Alizungumzia kuhusu masomo yake kwa kufahamisha kuwa kama angekuwa hakusoma basi asingeweza kupata udhamini wa masomo Ujerumani. Kufautia jambo hilo  alitoa shukrani.  Ujerumani ilitolewa shukrani kwa msaada wake na kazi alizofanya na kusema kuwa Ujerumani pia inastahili pongezi na kuwa mshirika. Katika kpindi hichuo Ujerumani  iliunga mıono  kazi zake  bila ya kumbughudhi. Aliipongeza mno Ujerumani. Kwa sasa Ujerumani imelkuwa tofauti na hapo awali.

Fuati  alifuatiliwa  tu baada ya kuchukuwa uamuzi wa kuhamisha maktaba yake ambayo alinunua vitabu na kuandika kwa gharam zake mwenyewe. Aliwekewa marufuku kuingia katika maktaba yake mwenyewe. Liccha ya changa moto zote alizopata alijitahidi  su jambo hilo lisieze kuambatanishwa na siasa na makataba yake kuwa mali ya umma.  Jambo la kushangaza ni kwamba Uturuki na  ulimwengu wa kiislamu hawakuwa wakimfahamu msomi huyo na mtafiti katika uliwengu wa kiislamu.  Fuati alikuwa akşfahamika tu kwa baadhi ya  wasomi kadhaa waliokuwa wakifuatilia kazi zake.

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

 

Kutoka katika chuo kikuu cha  Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa, Daktari Krudret BULBUL 


Habari Zinazohusiana