Mattis azungumzia "ubora" wa makombora ya Korea-Kaskazini kushambulia Marekani

Waziri wa ulinzi wa Marekani asema kuwa haamini kuwa makombora ya Korea-Kaskazini kuwa yanaweza kushambulia Marekani

Mattis azungumzia "ubora" wa makombora ya Korea-Kaskazini kushambulia Marekani

 

Waziri wa ulinzi wa Marekani James Mattis amesema kuwa haamini kuwa makombora ya Korea-Kaskazini yanaweza kudhuru Marekani wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

Mattis amesikika akisema kuwa Korea -Kaskazini haiwezi kuwa tishio kwa Marekani.

Katika mahojiano hayo na waandishi wa habari Mattis amesema kuwa haamini kuwa makombora ya masafa marefu ya Korea-Kaskazini yanao uwezo wa kufika nchini Marekani.

Jaribio la miwsho la kombora la masafa marefu la Korea-Kaskazini lilifanyika Novemba 28.

 

 Habari Zinazohusiana