Ugiriki yarejesha wahamiaji Uturuki

Awamu ya kwanza ya kurejesha wahamiaji Uturuki yaanza

442987
Ugiriki yarejesha wahamiaji Uturuki

Awamu ya kwanza kufuatia makubaliano, Ugiriki yawarejesha wahamiaji waliongia nchini kutokea Uturuki.

Taarifa zafahamisha kuwa takriban wahamiaji haramu 300 kutoka Ugiriki wamerejeshwa nchini Uturuki.

Kufuatia makubaliano hayo takriban wahamiai haramu kutoka Morocco, Tunisia na Algeria wamerejesha nchini Uturuki kupitia mpaka wa Ipsala.

Wahamiaji hao wamefikishwa katika kambi inayopatikana mjini Edirne.Habari Zinazohusiana